» » SOFTWARE BORA KWAAJILI YA KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE


wanakwetu habari. Leo nimeona nishare nanyi somo hili ikiwa ni mwendelezo wa somo nililowahi kulitoa la jinsi ya kudownload video za youtube bila software yoyote.
Kabla ya hilo niseme Mambo machache..
.1.kama unataka kuwa mtaalam wa computer yan ujifunze mambo ya computer kwa undani basi jiunge na darasa ninalofundisha, masomo yanatolewa kwa njia ya video hatua kwa hatua kwa gharama ndogo sana.
Ndan kuna masomo kama jinsi ya kutengeneza blog, website development,website designing,graphics & designing, java, php, microsoft word, internet,computer application,computer maintanance(jinsi ya kuweka windows,kuweka software, matatzo makuu ya computer na jinsi ya kuyatatua, na mengine mengi.
2.pia kwa unaetaka kutengenezewa blog au unablog yako unahitaj kuiboresha au unahitaji logo kwaajil yako au ya company au ya website au ya blog yako, au ya kikundi chenu nicheki *obby mjuzi*, Kwa maelezo zaid wasiliana nami ka email obbymjuzi@gmail.com
(WAPE TAARIFA)

Tuendelee...
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kwa mtazamo wangu ipi ni best software ya kudownload video youtube kwa kutumia simu? Sasa
Mlokuwa mnaulizia app ya kudownload video youtube hii ni best kuliko zote.
Inaitwa *tube mate.*
Hii link nimeitengeneza ili kuleta urahisi wa kudownload coz watu wamekuwa wakihangaika kuipata. Yan ukiclick inaanza kudownload hapo hapo.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD

JINSI YA KUITUMIA_
1. click hiyo link na itaanza kudownload hiyo app(itakuuliza kama unaaccept bonyeza yes, isipokuuliza basi endelea) Ikimaliza nenda kwenye file limeandikwa downloads utaikuta huko imeandikwa tube mate youtube downloader.
2. Ifungue kwa kuibonyeza kisha utabonyeza next next next mpaka itakapoanza kuinstall, ikimaliza utabonyeza open.
(kama ndio mara ya kwanza unatumia app kutoka nje ya playstore itakuomba u allow to install from unknown sources accept tu then fata maelezo hayo ya juu)
3. Ukibonyeza open itakuletea warning bonyeza agree then itakuletea release cancel.
4.itaload kwa muda na itafunguka youtube utaona mshale umeelekea juu ubonyeze huo
5.utaona sehem ya kusearch andika jina la video unayoitaka then search
6. Itakuja hiyo vdeo ibonyeze iplay, ikianza kuplay utaona mshale wa kijani upo juu ubonyeze huo
7.itaprocess kwa muda na itakuletea format mbalimbali za video, chagua unayoitaka mfano mp4 360 then chini utaona neno download bonyeza hilo na kaz itakuwa imeisha.
*kumbuka*
Steps zimekuwa nyng kwasababu ndio mara ya kwanza unaitumia.
Badae utakuwa unaifungua na kuanza na step ya 5.
*>>>ASANTE<<<*

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply