KARIBU KATIKA DARASA HURU. Asante kwa kutembelea blog yetu. niombe radhi kwa kutokuwa na masomo kwa miezi kadhaa. hii ni kutokana na mihangaiko ya hapa na pale.. leo tunarudi tena Darasani na tunajifunza jinsi ya JINSI YA KUBADILI PASSWORD YA LAPTOP AU DESKTOP YAKO BILA KUJUA ILE ILE YA ZAMANI(ambayo ipo)
.ukiwa na swali lolote au maoni tafadhari nitumie kwa email yangu obbymjuzi@gmail.com..
karibu twende sote.
Maranyingi huwa tunajikuta tunapata matatzo ya kutokukumbuka password zetu. Hii inakupa kazi sana kutumia pc na unakuwa na mawazo kwamba hii pc ikizima utafanya nini na wakat password hukumbuk?
Leo nakuletea somo litakalokusaidia kuchange password bila hata kujua iliyokuwepo.
Kuna njia mbili za kubadili password kwenye computer.
1. Njia ya kawaida
2. Kwa kutumia cmd

NITAELEKEZA NJIA YA KWANZA. then nitaelekeza ya pili.
NJIA YA KAWAIDA.
kwa njia ya kawaida fata hatua hizi rahisi
1. Right click kweny my computer na uchague sehem wameandika "manage"
Itakupeleka kwenye computer management.
Unaweza kuipata hyo kwa kubonyeza windows button+ R then ukaandika "compmgmt.msc" then ENTER
2. Tafuta sehem wameandika "local users and groups"
Then chagua users.
3.Hapo utaona users wa pc yako. Kama ni mmoja itakuwa imeandkwa administrator. Right click hyo administrator then chagua "set password"
4.Hapo itakwambia uandike hiyo password na uconfirm (yaani pasword unayoitaka), kazi itakuwa imeisha na utaweza ku log in kwa kutumia password mpya.

NJIA YA PILI (KWA KUTUMIA CMD)
Cmd ni kifup cha neno command prompt.
Hii hupatikana kwenye kila computer na hufanya kazi nyingi sana kuliko tunavyoweza kudhani.hii inauwezo hata wa kufufua flash au memory card zilizokufa.
Leo nitajikita zaid kweny kutumia CMD kuchange pasword ya computer yako.
Unaweza kufanya hivyo kwa kufata hatua hizi rahisi.
1. click Windows button+ R. Then andika cmd then enter.
2. Kitafunguka kipage cheusi chenye maandishi meupe.
Hicho ndicho huitwa Cmd. Yaan command prompt.
3. Andika net user then ENTER itakuonesha account zote zilizopo kweny pc yako. Mara nyingi utakuta watu wanaweka guest account na administrator account.
4. Andika met user "jina la account" then * mfano net user administrator * then ENTER. Itakuomba uweke password, andika yoyote unayoitaka (but haitaonekana so we andika tu) then ENTER.
Itakuomba uconfirm password confirm hyo password then ENTER.
5. Utakuwa umemaliza kubadil password yako bila shida.
MUDA UKIRUHUSU TUTAJIFUNZA JINSI YA KUINGIA KWENYE LAPTOP au DESKTOP YA MTU BILA KUJUA PASWORD YAKE. HII ITAKUWA MWENDELEZO WA SOMO HILI.
Kwa ujanja mwingine wa computer tembelea blog yangu hiyo hapo chini (ingia sehem wameandka darasa huru)
Asante

ANGALIZO
hii ni kwaajili ya elimu tu. Ni marufuku kuitumia vbaya.
Sitahusika kwa baya lolote litakalojitokeza.
IMEANDALIWA NA

No comments: