Habari Wapendwa Bloggers!!
Katika Article za Mwanzoni niligusia Kidogo kuhusiana na Google Adsense, Leo nawapa Mbinu za Kujisajili na Kuiendesha Akaunti yako ya Adsense kwa Faida. Siku za Nyuma jambo hili la kuwa na akaunti ya Adsense lilikuwa jepesi tu na Wajanja walioshtuka Mapema walifanikiwa Kutoka kimaisha kutokana na Hili.
Kwa Utaratibu wa Sasa ni Ngumu kufanikiwa kuipata Akaunti Mpya ya Adsense ikiwa hauna Content nyingi katika Blog yako na Content hizo zikiwa zina Lugha Ambayo inayokubalika na Google ambao ndio wamiliki wa Adsense. Kwa Ufupi tu jitahidi Blog yako iwe ina Post Angalau 30 za Kiingereza ili wasikukatalia kwa kigezo cha Unsufficient Content au Kigezo cha Unsupported Language.
Kingine cha Kuzingatia ni Umri/Muda gani Blog yako ilikuwa Hewani. Kwa sasa ni ngumu kwa Blog Mpya inayofunguliwa Leo Kupata Akaunti ya Adsense na Matangazo Kuonekana, Hii inamaanisha kwa sasa Adsense Wanahitaji Publishers wake wawe wavumilivu kidogo kabla ya Kukubaliwa na Kupewa Hizo Akaunti za Adsense.
*HILI Lisikukatishe Tamaa, Unaweza Ukasubiri Angalau Miezi Mitatu Huku Ukiandika Post za Kutosha kwenye Blog yako na Hatimaye By the Time unaomba Usajili wa Adsense Google Wakakupa Bila Shida Yoyoye.
Na Unapofanikiwa Kuipata Akaunti yako ya Adsense hakikisha haukinzani na Vigezo na Masharti yao..Kwa Lugha ya Kiiingereza Visome Hapa
JE UNGEPENDA KUIPATA AKAUNTI YAKO YA ADSENSE NDANI YA SIKU 5? Ni Maajabu lakini yawezekana Kuipata, Wasiliana Nasi Kujua Zaidi.

Wakuu me nahitaji hiyo account please nipen mwanga blog yangu ina kama miezi mitatu hivi
ReplyDelete