Jinsi ya kufanya Flash yako kuwa Bootable drive yani ubadirishe windows yako kwa kutumia Flash. Fuata hatua zifuatazo ukitumia power ISO kutengenezea.
1.Hakikisha Flash yenye ukubwa wa kuanzia 4GB na isiwe na kitu chochote na uiformat kwa njia ya NTSF pia Download PowerISO katika kompyuta yako na run katika kompyuta yako.
2.Chagua option iliyoandikwa TOOLS
3. katika Option ya TOOLS utachagua mahali palipoandikwa create bootable USB drive na uta run tena kama administrator kama ikihitaji tena
4. baada ya hapo weka image file yenye window kwakuichagua mahali ulipoiweka
5.Baada ya kuchagua File image hakikisha Flash ipo katika kompyuta yako
7. Bonyeza Start ili kuanza Kitendo cha kutengeneza bootable Flash
8.Subiri Dakika kama 30 hadi imalize hicho kitendo cha kuweka flash iww bootable
9.ikimaliza itakuandikia Writing USB drive Completed Successfully na flash yako itakuwa tayari kazi kwako kuanza kupiga windows kwa kutumia Flash
JINSI YAKUWEKA WINDOWS KWENYE FLASH /BOOTABLE FLASH KWA KUTUMIA

oyaaa autorun....hapa
ReplyDelete