Watu wengi wanaotumia simu ya huawei Y300 wamekuwa wakitaka kutumia android 4.4.4 Kitkat kwenye simu zao lakini imekuwa ni ndoto kwao kwakua huawei haijatoa official update ya android 4.4.4 kitkat kwenye huawei Y300.
Kutoka na hilo basi leo nitatoa malekezo jinsi ya kuweka custom rom ambayo itakupa uwezo wa kutumia android 4.4.4 kitkat kwenye huawei Y300.
Slim Kat rom ndio rom ambayo ntaiweka kwenye huawei Y300.
VIGEZO NA MASHARTI.
1: MIMI SITAHUSIKA ENDAPO WEWE UTAARIBU SIMU YAKO
2: UELEWA WA COMPUTER
UNATAJIKA
3: SOMA MAELEKEZO KWA UMAKINI KABLA HUJAJARIBI KWENYE SIMU YAKO
JINSI YA KUWEKA ANDROID 4.4.4 KITKAT KWENYE HUAWEI Y300
STEP 0.
Hakikisha simu yako ni Huawei Y300 na sio vinginevyo.
STEP 1
Hakikisha simu yako tayari imekuwa rooted, bootloader imekuwa unlocked na una custom recovery kwenye simu yako. Kama bado tembelea link chini kwa msaada zaidi.
http://phonetricktz.blogspot.com/2014/10/jinsi-ya-ku-root-huawei-y300-na-unlock.html?m=1
STEP 2
Download Slim Kat Rom kwa kutumia link chini kisha liweke hilo file kwenye memory card ya simu yako. Liweke file kama lilivyo. Usilifungue.
https://s.basketbuild.com/filedl/devs?dev=chil360&dl=chil360/u8833/SlimKat/Slim-u8833-4.4.4.build.9.0-UNOFFICIAL-20150925-1610.zip
STEP 3
Download Pa Gapps kwa kutumia link chini kisha liweke hilo file kwenye memory card ya simu yako. Liweke file kama lilivyo. Usilifungue
https://s.basketbuild.com/devs/TKruzze/Android%204.4.4%20GApps/Full-Modular%20GApps/
STEP 4
Download Google Keyboard kwa kutumia link chini kisha liweke hilo file kwenye memory card yako.
https://www.dropbox.com/s/6s33ur1bezlvo5f/Google%20Keyboard.apk?dl=0
STEP 5
Zima simu yako. Subiri kama secunde 5 kisha tazama video chini jinsi ya kuendelea.

STEP 6
Baada ya simu yako kuwaka hakikisha una skip every step kwa sababu google keyboard itakuwa haifanyi kazi. Kwa kutumia File explorer iliyoko kwenye simu nenda kwenye memory card kisha install google keyboard ambayo uliiweka kwenye memory card kwenye Step 4. Kama bado rudia Step 4.
No comments: