JE ULISHAWAHI KUKUTANA NA TATIZO LA KUPOTEA KWA DATA ZAKO KTK FLASH AU EXTERNAL HARD DISK LAKINI UKICHOMEKA FLASHI/EXTERNAL HARD DISK HIYO KTK COMPUTER INAONYESHA INADATA ILA UKIFUNGUA HAUKUTI KITU…??
ANGALIZO ;
1. KWANZA KABISA HUPASWI KUFORMAT FLASH/EXTERNAL HARD DISK YAKO
2. PILI VITU VYAKO VIPO SALAMA KABISA
3. TATU VIMEFICHWA NA AINA YA VIRUS AITWAYE “Skypee”

(Skypee – type of virus that creates shortcuts of files and folder and has ability to hide original files)
FUATA HATUA ZIFUATAZO KUFANYA VITU VYAKO VIONEKANE NA KUTUMIKA TENA BILA SHIDA YOYOTE;
1. Hakikisha una program/USB antivirus iitwayo SMADAV (kama hauna basi download kwa kutumia link hii hapa SMAD AV 2014
2. Version inayoaminika ni ya mwaka 2014.
3. Install ktk computer yako.
4. Kama kunamtu anayo tayari ktk PC yake muombe kwa dakika 2 tu utumie.
5. Chomeka/insert flash/hard disk ktk hiyo Computer ambayo ina SMADAV 2014.
6. Right click ktk flash/hard disk halafu click “scan with SMADAV”
7. Ikianza kuscan tu utaona hapo kulia chini kwenye desktop kuna notification yake imetokea, imaximize/ikuze ionekane kwa upana, ili uweze kuona inavyoscan.
8. Baada ya kumaliza kuscan kuna sehemu utaona imeandikwa “fix all” basi click hiyo sehemu.
9. Wait for a moment (subiri kidogo), ikimaliza kufix hao wadudu CLOSE IT/ifunge.
10. Sasa basi Ukifungua flash utaona kifolder ambacho hakijaandikwa jina, kifungue, utakuta vitu vyako vyote, vi_cut, vi_paste nje ya hicho kifolder then kifute hicho kifolder kisicho na jina kisha bakiza vitu vyako vikiwa Salama.

No comments: