» » (STICKY ADS CODES) ZA MATANGAZO YA KUGANDA KWA CHINI NA KILA UNAPOSHUSHA

Najua Kwa Kiswahili hicho tumekilazimisha lakini hizi Sticky Widgets huwezesha mtu kuweka Codes za Adsense au Matangazo mengine na yakawa yanashuka kila unaposhusha na kupanda kila unapopandisha Page, kwa maana nyingine yatabaki kuonekana Labda Mtembeleaji Ayafunge.

JINSI YA KUYAWEKA

Hapa Nimekuwekea Codes Rahisi sana ambazo Utaziingiza kwenye Dashboard yako-Add a Gadget na Kisha HTML/Javascript. Cha Muhimu ni kuhakikisha Unabadilisha Codes Hizo za Rangi ya Kijani kwa HTML code za Adsense au Matangazo yako Mengine. Codes ni Hizi hapa:-

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.

Next
Newer Post

Previous
Older Post

1 comments:

1. Wakuu nna matangazo ambayo natakiwa nitumie codes kuya represent kwenye blog yangu ila kila nikiyaweka hayatokei nini tatzo hapo msaada wenu tafadhali

ReplyDelete