» » Njia nyepesi za kubeti na kushinda Mahela Mengi

Kwanza kabisa ninaomba nieleweke ktk hili, kama ambavyoSerikali imeagiza kwa mujibu wa sheria kuwa watoto wote (umri chini ya miaka 18 kubashirihawaruhusiwi kubashiri, hivyo basi sitegemei maelezo haya yakatumiwa na mtoto chini ya miaka 18.
Kama Umetimiza umri wa miaka 18 na kuendelea tafadhali tumia maelezo haya kama yalivyo, ukiyakiuka ukafeli au kuliwa pesa zako sitahusika.
Kama ambavyo watu wengi wamezoea kubeti karibu kila siku bila mafanikio, basi leo ninakuletea maujanja fulani hivi halafu twende sawa.
Kutokana na kuwa maelezo haya hayajakopiwa sehemu yoyote, basi ninaomba nikupe sheria zangu kwanza kabla hata haujaanza kubeti.

Sheria na Onyo kabla ya Kubeti
  1. Kuanza kubeti kwa njia hii haijalishi kama unafahamu timu, au historia ya timu, sababbu utatumia akili za Software maalum
  2. Unapobeti katika makampuni yoyote haupaswi kuwa unaongelea mikeka ya watu wengine kwa kuwatania kuwa hatashinda (utajichafulia nyota ya ushindi)
  3. Katika kila mkeka hautakiwi kuweka timu zaidi ya 4
  4. Hakikisha kila timu unayoweka umeitoa ktk Software hii nitakayokuonyesha hapa chini
  5. Kama ndio mara yako ya kwanza kubeti na haujazoea kuliwa pesa zako basi ninakushauri kubeti kwa kiwango kidogo sana kwa kila mkeka, kwa mfano unaweza kuweka shilingi mia tano (500/=) kwa kila mkeka
  6. Sheria ngumu ni hii hapa, hautakiwi kuwaza kushinda pesa nyingi kama mtaji wako ni mdogo
  7. Aindha kwa wale wenye mitaji mikubwa wanaweza kuweka hadi kiwango cha laki na nusu kwa mkeka mmoja
  8. Hakikisha kila mkeka unaoweka hauzidi Odds 5 (yaani ukizidisha points zote za timu zako ulizozipa ushindi basi zisizidi point 5)
  9. Hautakiwi kubeti kila siku kwa sababu kuna siku zingine hakuna timu za ushindi zinazocheza
  10. Ukitaka kubeti na kula kila siku basi utaweza endapo utakuwa mvumilivu kwa kiasi kidogo utakachokuwa unakipata
  11. Ukibeti usimuonyeshe mtu mkeka wako (kwa mfano ukiwa unasafiri halafu watu wakakuombea ajali basi utasafiri kwa wasiwasi) same applied kwenye mikeka, kuna watu wana mikosi, yaani huwa hawashindi, na watu hao wakitazama mkeka wako wakakosoa timu 1 tu basi utapata wakati mgumu sana kushinda
  12. Mwisho kabisa, Kubeti ni Siri na sio Matangazo

Baada ya Sheria, sasa twende kwenye hatua za uchaguzi wa timu
  1. Kwanza kabisa unatakiwa uwe na smartphone au uazime ya mtu mwingine
  2. Fungua playstore
  3. Tafuta application imeandikwa (Football Prediction) chini yake utaona neno (SauzanaProd)
  4. Ukiandika hilo neno Football Prediction kwa usahihi basi itatokea ya kwanza kabisa na picha ya ni hii hapa chini,

  5. unnamed

    Baada ya kuipata sasa install na uifungue
  6. Ukifungua ndani utaona imefunguka kama picha hii hapa chini inavyoonyesha,

    1452526353_predictions-foot-hit

  7. Kama inavyofahamika kuwa (1) ashinde wa nyumbani, (2) ashinde wa ugenini na (x) ni droo, sasa basi ukiangalia picha hiyo hapo juu utaona kuna sehemu imekolezwa rangi nyekundu, na ndani ya hiyo rangi unaona namba
  8. Kwa mfano Mechi ya kwanza hapo anacheza (Santiago) dhidi ya (Colo Colo) ukiangalia kulia mwao utaona upande wa (1) kuna namba 23, upande wa (2) kuna namba 50, maana yake hizo ni asilimia za Ushindi, yaani hapo wanakwambia kuwa (Colo Colo anaushindi kwa asilimia 50)
  9. Onyo ⇒ huwa tunachukua timu zenye asilimia kuanzia 70 na kuendelea, na ukipuuza kwenye hili basi tusilaumiane
  10. Kwa mfano subiri siku anacheza (Real Madrid, Barcelona, Bayern, Borusia Dortmund, Atletico Madrid, PSG, na wengine wengi tu ambao huwa wanaitwa wa uhakika) kisha njoo huku kwenye hii application angalia kwa umakini sana, kama wamepewa Asilimia chini ya 70 basi ujue wana game ngumu na wanaweza kutoa suluhu au kufungwa
  11. Zipo timu nyingi sana ambazo utakuta zina asilimia 70 na kuendelea, basi usiwe na tamaa sana, fuata sheria zangu, kuwa kila mkeka weka timu 3 au 4 baaaaas, kisha weka mia tano yako kula elfu 3 au 5, na kwa wale wenye mitaji basi mtavuna
  12. Kuna ile tabia ya kujaza timu nyingi, ndio hiyo pia ni nzuri lakini unatakiwa kuifanya kwa kutumia Megamix, angalia vizuri hapo kwenye picha hiyo juu utaona chini ya saa pale kuna kama kigaloni (lahasha hicho sio kigaloni bali ni kalenda, hivyo basi ukikibonyeza tu kitakuletea mechi nyingine za siku 3 mbele
  13. Basi, chagua timu zenye asilimia 70 na kuendelea kisha ziunganishe (hata zikifika 6,7 au 8 sio mbaya) kisha weka ktk mkeka mmoja, weka mpunga na iwe siri yako
  14. Siku ukikosa timu hizo za asilimia 70 basi chukua mwisho 60 baaaas
  15. Tafadhali usikiuke sheria zangu kwani utamchangia Muhindi, Mchina na Mzungu mpaka siku yako ya Mwisho unapoiaga betting
Nani anasema betting ni kamari?
Kamari = Unatumia jasho lako na kwa wakati huohuo unapata au unakosa ulichokitolea jasho
Bahati nasibu = Hautoki jasho wewe, anaetoka jasho ni mwingine na utapata au kukosa ulichokibahatisha baada ya muhusika kushinda au kushindwa
Ukibeti kwa akili zako hizohizo za kila siku ambazo hazina kitu kipya utaumia kichwa, ninakushauri ubeti baada ya kuangalia timu kwenye hii application kwani kila siku timu zinasajili wachezaji na uwezo unaongezeka, na hii application inaonyesha uwezo wa timu kwa kutumia huo mfumo wa asilimia.
Kama hupendi kubeti au unachukulia kubeti ni kamari basi kwenye hii posti pita kama haujaona kitu, tuendelee na maisha ya kila siku.

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply