
Jinsi ya kufanya Flash yako kuwa Bootable drive yani ubadirishe windows yako kwa kutumia Flash. Fuata hatua zifuatazo ukitumia power ISO kutengenezea.
1.Hakikisha Flash yenye ukubwa wa kuanzia 4GB na isiwe na kitu chochote na uiformat kwa njia ya NTSF pia Download PowerISO katika kompyuta yako na run katika kompyuta yako.
2.Chagua option iliyoandikwa TOOLS
3. katika Option ya TOOLS utachagua mahali palipoandikwa create bootable USB drive na uta run tena kama administrator kama ikihitaji tena
4. baada ya hapo weka image file yenye window kwakuichagua mahali ulipoiweka
5.Baada ya kuchagua File image hakikisha Flash ipo katika kompyuta yako
7. Bonyeza Start ili kuanza Kitendo cha kutengeneza bootable Flash
8.Subiri Dakika kama 30 hadi imalize hicho kitendo cha kuweka flash iww bootable
9.ikimaliza itakuandikia Writing USB drive Completed Successfully na flash yako itakuwa tayari kazi kwako kuanza kupiga windows kwa kutumia Flash
Topics: tricks
About Unknown
Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
In today’s scenario you will notice that CCTV cameras are used at many places like malls,offices and many more for many purposes.You must...
-
Hack Facebook Password Instantly Facebook is presently the king of social networking and the most essential site in the today’s worl...
-
Kuna njia kuu tatu za kuweka/kuinstall drivers ktk Computer, nazo ni; Kwa kutumia CD au DVD Kwa kutumia flashi au external hard disk...
-
The mainstream topic nowadays is security, especially with so much negative media coverage surrounding it. Moreover, all the costly fallo...
-
KingRoot is an amazing app for "lazy people". One click is all you need to root your android devices. Right now its engine ha...
-
Hakika Huu ndio umekua mwaka wa mabadiliko makubwa kwa mtandao wa Instagram ukilinganisha na miaka mingine iliyopita. Kumbuka mwak...
-
Tuna tumia simu zetu kufanya vitu vingi sana kucheza games, kutuma na kupokea e-mails, kununua vitu, kupiga picha, kurekodi video na hata ...
-
Jinsi ya kufanya Flash yako kuwa Bootable drive yani ubadirishe windows yako kwa kutumia Flash. Fuata hatua zifuatazo ukitumia power ISO ku...
-
Habari gani mpendwa karibu tena katika jukwaa letu ili uwEze kupata hiki Na kile juu ya teknolojia Kwa lugha ya kiswahili.... karbu uen...
-
Iwe unataka kununua simu mpya au iliyotumika ni muhimu kujipanga kwani mara nyingi ukishanunua ndiyo umenunua kunakuwa hakuna kubadili ...
oyaaa autorun....hapa
ReplyDelete