Je wajua, kama ukiwa na Smartphone mbili halafu, moja ikaishiwa chaji na nyingine ina chaji asilimia mia moja, basi ukiwa na OTG Cable unaweza kuichaji ile nyingine iliyoishiwa chaji.
Ni hatua chache tu za kufuata kama nilivyoelekeza hapa chini;
- Chomeka OTG Cable kwenye simu yenye chaji
- Kisha chomeka USB Cable kwenye hiyo OTG Cable
- Na mwisho kabisa Chomeka hiyo USB Cable Upande mmoja kwenye ile simu iliyoishiwa chaji na upande mwingine chomeka kwenye simu iliyoishiwa chaji
- Njia hii ni nzuri sana na rahisi kutumia, kwa mfano umeishiwa chaji na una jambo muhimu la kufanya, basi kama una OTG Cable na USB Cable unaweza muomba hata rafiki yako kama asilimia 20 za chaji ukakamilisha jambo lako
Kwa Maelezo zaidi nimekuandalia Picha hii hapa chini utaelewa vizuri sana;
OTG cable inauzwa being gani?
ReplyDelete