» » Antivirus Nzuri Kwa Computer Yako

Eset Node 32 Antivirus 7 ni Antivirus Bora Zaidi

Wengi watakuwa hawafahamu uzuri wa hii Antivirus, hapa nitaelezea vichache tu vinavyonifanya niiweke ktk namba ya juu kabisa.
  1. Inafaya Computer yako kuwa nyepesi wakati wa matumizi, yaani ikiwa inafanya kazi haiathiri mambo mengine yanaoendelea.
  2. Haisumbui kuupdate mara kwa mara kama zilivyo Antiviruz nyingine, ukiunga mtandao itajiupdate bila kukujuza kisha wewe utaona kijimeseji tu kikikwambia “eset node antivirus database updated successfully”
  3. Ina protect computer dhidi ya wadudu kutoka, mitandaoni, kwenye flash, kwenye external hard disk, memory card, simu, n.k
    Utaipata wapi?
    Kama kawaida hapa unapata full package, unatakiwa uwe na MB 130 tu kwa ajili ya kudownload kisha wasiliana nasi tutakutumia link utadownload,
Ndani ya folder utakalo download kuna software tatu, nazo ni;
  1. Eset node Antivirus 7 kwa wenye 32bit Operating systems
  2. Eset node Antivirus 7 kwa wenye 64bit Operating systems
  3. Activator yake
Ukimaliza kudownload save folder lako sehemu ambayo unaikumbuka, kwamfano kwenye desktop.
Kumbuka folder letu ni zipped, hivyo basi unatakiwa kurightclick, then unaclick open with “zip” au “win rar” kikubwa lifunguke, na ndani yake utaona vile vitu vitatu nilivyokutajia.
Angalizo;
Kama ulikuwa na vijiAntivirus vingine vitoe kwanza/uninstall all of them.
Sasa basi, utaanza kuinstall Antivirus ambayo ni sawa na Operating system/Windows yako interms of BITS, ili kujua Window yako ni bits ngapi fanya hivi;
Then kuna kitu kama page kitafunguka, soma sehemu imeandikwa “system type” utaona kama ni 64bit au 32bit.
Namna gani tunafika huko? ni kazi rahisi tu ila kwanza fanya kitu hiki;
  1. Kwanza kabla ya chochote tafuta my computer kisha right click hapo na bonyeza “properties” ipo mwisho kabisa
  2. Kisha angalia windows yako ni bits ngapi na weka kumbukumbu kichwani
Ukishajua endelea kuinstall Antivirus sahihi kwa uchaguzi sahihi kulingana na bits za window yako, mwanzoni kabisa wakati wa kuinstall itaomba password kuhakikisha kama wewe ni mwana Club kwa njia ya Mtandao, basi jaza hii “maxitclub” bila alama za fungua na funga semi kisha endelea kufanya installation.
Ukimaliza usibonyeze kitufe chochote kinachohusu mambo ya kuactivate, na unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua zifuatazo;
Kuactivate Antivirus yetu tuliyoinstall;
Computer lazima iwe ktk Safe Mode, wengi mtajiuliza ndio nini tena hiki, naomba nikueleweshe, Safe Mode ni kama kijidunia kingine ktk Computer yako ambako ni salama zaidi kufanya vitu kama hiki tunachotaka kufanya kuliko kutumia mode uliyoizoea kila siku.
  1. Shikilia kitufe kilichochorwa alama ya window ktk keyboard yako/windows button.
  2. Ukiwa umekishikilia bila kuachia bonyeza na kingine chenye herufi “R” yaani kwapamoja vyote, ila anza kwa kushika chenye alama ya window.
  3. Utaona kidude fulani kimeibuka, kinaitwa “Run dialog box”
  4. Ukikiangalia vizuri utaona kinasehemu ambayo unaweza kuandika vitu vyako.
  5. Sasa hapo hapo ktk hiyo sehemu yakuandika tunatakiwa tuandike hivi “msconfig” bila alama ya fungua na funga semi kisha bonyeza “OK”
  6. Kuna kijipage kingine kitaibuka kinaitwa “system configuration dialog box”
  7. Kina vijibutton kwa juu vimeandikwa, “General”, “Boot”, “Services”, “Startup”, “Tools”
  8. Chagua hicho kilichoandikwa “Boot” kwa kukibonyeza
  9. Halafu piga tiki kwa kubonyeza kibox tupu kilicho mbele ya maandishi yaliyoandikwa “Safe boot” kisha bofya “ok”
  10. Kibox cha mwisho kitakuuliza kama unataka kurestart computer yako, bonyeza “restart computer”
  11. Kisha subiri computer ijirestart ktk “safe mode”
SAFE MODE
  1. Ukiwa ktk safe mode
  2. Fungua folder ulilodownload
  3. Kisha bonyeza/double click “ESET ACTIVATOR”
  4. Itaomba password, jaza ile ya kwanza “maxitclub” bila alama za funga na fungua semi.
  5. Ktk hicho kitakachofinguka, kazi yako kubwa nikubonyeza maandishi yenye neno “ACTIVATE” kisha weka pozi kidogo, relax na subiri Computer yako irudi kwenye normal Mode.
Tumia link hii kudownload software hii;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD SOFTWARE HII

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply