TECHNOLOGY# JE WAJUA NAMNA YA KUPIGA PICHA KWA KUTUMIA MLUZI ? CHEKI HAPA UPATE MAUJANJA.
Application mpya ya Andoid iitwayo "whistle camera"
inakupa huduma ww mtumiaji kujipiga picha bila
kubonyeza kioo au batani yakupigia picha.Application
hii ni nzuri sana kwa picha za "selfie"(kujipiga
mwenyew) na pia hupiga picha kwa haraka zaidi kuliko
kamera ya simu ya kawaida.Unatakiwa kuifungua
application hiyo then ukisha tegesha simu yako tayar
kwa kupga picha,unachitakiwa kufanya ni kuweka pozi
lako kisha unapiga mluzi ili picha iweze kupgwa katika
simu yako
No comments: