» » JINSI YA KUWEKA FACEBOOK LIKE BOX KATIKA BLOG YAKO

Habari za Leo?
Katika Muendelezo wetu wa Kutoa Mafunzo ya Blogging hasa kwa kutumia lugha ya kiswahili, leo naomba nikufahamishe njia rahisi zaidi ya kuweka Facebook like box katika blog yako.

FUATA NJIA HIZI RAHISI 

Ingia kwenye Dashboard ya Blog yako kisha Bonyeza LAYOUT
Image result for images of blogger dashboard layout
Ukishaingia kwenye LAYOUT utabonyeza Add Gadget katika Upande unaotaka Ikae Hiyo Facebook Like Page Yako Mfano Pembeni Juu Kulia.




Kisha Utabonyeza  HTML/ Java Script na Kuingiza Codes hizi za HTML.

 <iframe src="//www.facebook.com/plugins/likebox.php?href=https://www.facebook.com/ommyboy23&amp;width=270&amp;height=220&amp;colorscheme=light&amp;show_faces=true&amp;border_color&amp;stream=false&amp;header=false&amp;" style="border:none; overflow:hidden; width:270px; height:220px;" ></iframe>


 Kumbuka kubadili Jina la ommyboy23 na kuweka jina la Page yake ya Facebook, Pia una nafasi ya kubadili Urefu na upana Kutoka 220 hadi 300. Save na re load blog yako kuona mabadiliko hayo.


Karibu kwa Maswali, Maoni au Ushauri. Kila la Kheri.

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply