» » Fahamu MB unazotumia Na Spidi Ya Internet Ya Simu Yako Kwa Urahisi

Mpendwa Mpenda Teknolojia, Leo Nimekuletea kitu kingine kizuri;
Leo tunapata application nyingine nyepesi sana kutumia ktk simu zetu. Application hii ina kazi kuu mbili;
  1. Kukuonyesha spidi ya internet ktk simu yako, na kila unapotembea au kusogea sehemu zenye mtandao mzuri basi spidi nayo inaongezeka, pia inaweza kukusaidia kutambua maeneo yenye mtandao mzuri zaidi
  2. Kukuonyesha idadi ya MB ulizotumia na namna ambavyo zinatumika, na hapa mtumiaji wa simu anaweza kutambua idadi ya MB anazotumia kwa Siku na ikamsaidia kupanga bajeti ya kununua Mabando
Utaipata wapi hii Application?
  1. Kamata simu yako
  2. Ingia play store
  3. Tafuta Application hii kwa kuandika maneno haya Internet Speed Meter Lite
  4. Itatokea ya kwanza kabisa na hakikisha ina picha kama hii hapa chini

    Max Internet Speed Meter Lite

  5. Ukiipata, download na install
  6. Ukimaliza installation basi utaona inatikea juu kwenye notifications (yaani kule ambako sms zikiingia unaslide kuzifikia kwa haraka)
  7. Applikation hii itakuwa inakaa kule na inakupa summary ya matumizi yako ya MB pamoja na spidi ya mtandao wako kwa eneo ulilopo
  8. Angalia mfano wake

    Max Int Speed exmple

  9. Karibuni sana, kuna mengi mazuri yanakuja

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply