Ni kawaida kwa kompyuta au ‘external HDD/SSD’ kujaa, iwe ni kutokana na picha, video, programu n.k ni rahisi sana kujaza ujazo wa aina yeyote ile.
Na ni mara nyingi sana jambo la muhimu kufanya huwa ni kutafuta mafaili ya kufuta(delete), na kazi hii huwa ni ngumu kama una mafaili mengi.
Hapa ndio programu ya TreeSize inapokuwa muhimu.
Muonekano wa TreeSize
Programu hii ya ukubwa mdogo na pia ya BURE kabisa inakusaidia kufanya mchanganuo wa mafaili yaliyo kwenye kompyuta yako.
Utaweza kuelewa mafaili ya aina gani yanachukua nafasi zaidi na pia yapo wapi ili kukusaidia kuyafuatilia kuyafuta.
Kupakua TreeSize Click hapa Download Hapa– Inafanya kazi kwa
Windows XP hadi Windows 10.

No comments: