» » KWA BLOGGERS NA WEBSITE OWNERS, JIPATIE LIKES ZA FACEBOOK KWA TSH 10 TU KWA LIKE MOJA


Habari za Leo Wakuu,

Hope Mpo Salama na Mnaendelea Vizuri na Mihangaiko ya Kila Siku ya Kujiletea Maendeleo. Leo Nimewaaletea PRODUCT nzuri sana kwa Bloggers kama mimi na Website Owners, Yes njia ya gharama nafuu zaidi ya kukuwezesha kupata LIKES za Facebook Page yako kwa AUDIENCE ya Tanzania, Kenya na Uganda kwa Bei Poa ya Tsh 10 Tu kwa Like Moja.

Hii ni sawa na Bure, kwa wale wenzangu na Mimi mnajua ni Ngumu kiasi gani ilivyo kupata LIKES za Kihalali za facebook, maana wastani wa Dola 1 ya Kimarekani hukuwezesha kupata wastani wa likes 9-36 kama campaign ya Tangazo lako likienda Vizuri, Otherwise unaweza ukajikuta Kila $0.10 inaishia kukupa Like 1 tu ya Facebook.

Mimi ni Mjasirialiamali nnayeendesha Maisha yangu kwa Kupitia Blogging na Ufugaji, Blogging ndo kila kitu kwangu, Mapema niligundua kuwepo kwa FURSA kupitia Google Adsense na Nikaitumia Vizuri, na Kuwafahamisha Wadau wengine Kuhusiana na Hilo. Leo Hii nimepata njia ya kutatua Kilio cha BLOGGERS Wengi, nacho ni TRAFFIC (Audience) ya Ku deliver contents zao na Hatimaye Wapate Pageviews nyingi na HELA za Google Adsense na Wadhamini wengine ZIPATIKANE.

Kwa Sasa Nimegundua Means ya Kukukuzia Page yako ya Face Book na Kuwapa Akaunti za Adsense wale Ambao bado Hawana Akaunti Hizo. Bei zangu ni Nafuu kuliko sehemu yoyote Duniani, Angalia Mchanganuo Ufuatao halafu Utachagua Package Gani Inakufaa:-

IDADI YA LIKESGHARAMA KWA TSHMUDA WA KUZIPATA(SIKU)
1,00010,000Siku 3
3,00030,000Siku 5
5,00050,000Siku 8
10,000100,000Siku 12
20,000200,000Siku 22
30,000300,000Siku 33
50,000500,000Siku 60
100,0001,000,000Siku 80

UTARATIBU WA MALIPO:-
Mimi Nipo Dar, Sinza Mapambano, Hapo ndipo Shughuli zangu nazifanyia, Mteja Unaweza Ukaja Hapa Tukaingia Mkataba wa Kisheria na Ukachagua Package Unayoihitaji. Then Kazi Ikaanza Mara Moja.

Kwa watu wa Mikoani Unaweza Ukamtuma Mtu Unaemuamini Akaja hapa kwa Niaba yako Ukipenda Unaweza Ukaniamini kwa kufanya 50% ya malipo mwanzo wa kazi nami ntakutumia contract na uthibitisho katika E Mail na tukawa tunawasiliana kadri kazi itakavyokuwa inaenda.

* Kwa wanaohitaji Akaunti za Adsense Tuwasiliane Nikuwezeshe Kuipata Akaunti yako kwa Bei Poa ya Tsh Elfu 35 Tu ndani ya Siku 5-7.

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply