Pengine wewe ni Muandishi ambaye huchukua muda mrefu kuandaa Kazi au post zako mpaka kuja kuzi publish mtandaoni, hivyo ungependa kuona kzi zako zinaheshimiwa na siyo ku kopiwa bila taarifa wala idhini yako, basi hapa kuna Codes ambazo zitasaidia kupunguza tatizo lako kwa kiasi kikubwa.
Codes hizi zipo Mbili, Utachagua ipi inakufaa wewe zaidi. Mapungufu ya Codes hizi ni kwamba yawezekana ikamkera mtumiaji ambaye hakuwa na nia ya Ku copy kitu kwenye Blog yako kwani Haitamruhusu Ku bonyeza Right Click na wakati mwingine kumpa Message ya Onyo.
JINSI YA KUZIWEKA.
Ingia kwenye Dashboard yako ya Blogger Kisha Bonyeza Template halafu Edit HTML
Baada ya Hapo zitafunga codes za html, yaani HTML Editor, utabonyeza ndani kama unataka ku edit kisha utabonyezaCTRL+F katika keyboard yako, hii ni comand ya Find, kitafunguka kibox kidogo cha search juu upande wa kulia ndani ya editor ili kukupa nafasi ya kutafuta utakacho.
CODES ZA KWANZA.
<script language="JavaScript">
<!--
//Disable right mouse click Script
//By Cyber World (contact@esoftload.info) w/ mods by Software Store
//For full source code, visit http://www.esoftload.info
var message="Dear Reader Contents in This Blog are Copy Righted,Lets Join Forces and stop plagiarism, Enjoy your Browsing!";
///////////////////////////////////
function clickIE4(){
if (event.button==2){
alert(message);
return false;
}
}
function clickNS4(e){
if (document.layers||document.getElementById&&!document.all){
if (e.which==2||e.which==3){
alert(message);
return false;
}
}
}
if (document.layers){
document.captureEvents(Event.MOUSEDOWN);
document.onmousedown=clickNS4;
}
else if (document.all&&!document.getElementById){
document.onmousedown=clickIE4;
}
document.oncontextmenu=new Function("alert(message);return false")
// -->
</script>
Hapo kwenye Maandishi ya Rangi Nyekundu yanayosema Dear Reader..... Unaweza Ukaweka Maneno Utakayopenda Mfano, TAFADHALI WASILIANA NAMI KABLA HAUJA COPY.... Au unaweza ukayatoa yasiwepo kabisa.
CODES ZA PILI
<!--MBW Code-->
<script language='JavaScript1.2'>
function disableselect(e){
return false
}
function reEnable(){
return true
}
document.onselectstart=new Function ("return false")
if (window.sidebar){
document.onmousedown=disableselect
document.onclick=reEnable
}
</script>
Hapo Utasave na Kuangalia Mabadiliko.
*MUHIMU*
Kumbuka Kuwa na BackUp ya Template yako Pembeni Hasa katika Format ya HTML ili Kuwa Rahisi Kuirudisha kama Utakinzana na Mabadiliko yoyote yatakayojitokeza.
No comments: