
Jinsi ya kufanya Flash yako kuwa Bootable drive yani ubadirishe windows yako kwa kutumia Flash. Fuata hatua zifuatazo ukitumia power ISO kutengenezea.
1.Hakikisha Flash yenye ukubwa wa kuanzia 4GB na isiwe na kitu chochote na uiformat kwa njia ya NTSF pia Download PowerISO katika kompyuta yako na run katika kompyuta yako.
2.Chagua option iliyoandikwa TOOLS
3. katika Option ya TOOLS utachagua mahali palipoandikwa create bootable USB drive na uta run tena kama administrator kama ikihitaji tena
4. baada ya hapo weka image file yenye window kwakuichagua mahali ulipoiweka
5.Baada ya kuchagua File image hakikisha Flash ipo katika kompyuta yako
7. Bonyeza Start ili kuanza Kitendo cha kutengeneza bootable Flash
8.Subiri Dakika kama 30 hadi imalize hicho kitendo cha kuweka flash iww bootable
9.ikimaliza itakuandikia Writing USB drive Completed Successfully na flash yako itakuwa tayari kazi kwako kuanza kupiga windows kwa kutumia Flash
Topics: tricks
About Unknown
Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Hakika Huu ndio umekua mwaka wa mabadiliko makubwa kwa mtandao wa Instagram ukilinganisha na miaka mingine iliyopita. Kumbuka mwak...
-
Hack Facebook Password Instantly Facebook is presently the king of social networking and the most essential site in the today’s worl...
-
In today’s scenario you will notice that CCTV cameras are used at many places like malls,offices and many more for many purposes.You must...
-
Windows Vista Free Download ISO 32 bit 64 bit. Here you can download full bootable official ISO of Windows Vista 32 bit and 64 bit just i...
-
Jinsi ya kufanya Flash yako kuwa Bootable drive yani ubadirishe windows yako kwa kutumia Flash. Fuata hatua zifuatazo ukitumia power ISO ku...
-
Afisa mkuu mtendaji wa Apple Tim Cook alizindua iPhone 7 katika jimbo la California Kampuni ya Apple imethibitisha kwamba simu yake...
-
Samsung Galaxy note 7/ TCRA Yapiga malufuku ya uuzaji wa Samsung Galaxy note 7hapa Nchini ,,, MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) i...
-
Pengine wewe ni Muandishi ambaye huchukua muda mrefu kuandaa Kazi au post zako mpaka kuja kuzi publish mtandaoni, hivyo ungependa kuona ...
-
Kuna njia kuu tatu za kuweka/kuinstall drivers ktk Computer, nazo ni; Kwa kutumia CD au DVD Kwa kutumia flashi au external hard disk...
-
dSploit is a penetration testing suite developed by Simone Margaritelli for the Android operating system. It consists of severa...
oyaaa autorun....hapa
ReplyDelete