» » JINSI YAKUWEKA WINDOWS KWENYE FLASH /BOOTABLE FLASH KWA KUTUMIA







Jinsi ya kufanya Flash yako kuwa Bootable drive yani ubadirishe windows yako kwa kutumia  Flash. Fuata hatua zifuatazo ukitumia power ISO kutengenezea.

1.Hakikisha Flash yenye ukubwa wa kuanzia 4GB  na isiwe na kitu chochote  na uiformat kwa njia ya NTSF pia Download PowerISO  katika kompyuta yako na run katika kompyuta yako.





2.Chagua option iliyoandikwa TOOLS






3. katika Option ya TOOLS utachagua mahali palipoandikwa create bootable USB drive   na uta run tena kama administrator kama ikihitaji tena




4. baada ya hapo weka image file yenye window kwakuichagua mahali ulipoiweka





5.Baada ya kuchagua File image hakikisha Flash ipo katika kompyuta yako




7. Bonyeza Start ili kuanza Kitendo cha kutengeneza bootable Flash


8.Subiri Dakika kama 30 hadi imalize hicho kitendo  cha kuweka flash iww bootable





9.ikimaliza itakuandikia Writing USB drive Completed Successfully na flash yako itakuwa tayari kazi kwako kuanza kupiga windows kwa kutumia Flash

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

1 comments: